Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tarbim, Bw. Baddal Calikusu akitoa
maelezo mafupi kabla ya Ufunguzi wa Kikao cha kwanza cha Bodi ya Mradi
wa Ubia wa Kilimo cha Umwagiliaji unaotarajiwa kuanza rasmi kutekelezwa
katika eneo la Magereza, Gereza Kigongoni Bagamoyo(kushoto) ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi
wa Magereza, John Masunga. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa
Hoteli ya Green Park iliyoko Bagamoyo. Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Tarbim, Bw. Baddal Calikusu (aliyesimama) akitoa
utambulisho kwa wajumbe wapya wa Bodi kabla ya Ufunguzi wa Kikao cha
kwanza cha Bodi ya Mradi wa Ubia wa Kilimo cha Umwagiliaji unaotarajiwa
kuanza rasmi kutekelezwa katika eneo la Magereza, Gereza Kigongoni
Bagamoyo . Mpimaji
Ardhi Mwandamizi wa Jeshi la Magereza,Mrakibu Msaidizi wa Magereza
Habibu Yusuph akiwaonesha wajumbe wa Bodi mchoro wa Ramani katika mradi
wa ubia wa Kilimo cha Umwagiliaji cha Gereza Kigongoni kati ya Kampuni
ya Tarbim na shirika la Magereza.Kamishina
Msaidizi Mwandamizi wa Magereza Gideon Nkana akiwa na Wajumbe wengine
wa Bodi ya mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji Gereza Kigongoni wakikagua
eneo la Mradi utakapotekelezwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tarbim, Bw. Baddal Calikusu
(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya mradi wa
Kilimo cha Umwagiliaji Gereza Kigongoni mara baada ya Kikao cha kwanza
kilichofanyika katika Hoteli ya Green Park iliyopo Mjini Bagamoyo (wa
kwanza kulia) ni Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Magereza Gideon
Nkana(wa tatu kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la
Magereza,Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Magereza John Masunga(
Thursday, 5 February 2015
SERIKALI KUDHIBITI UJANGILI WA BIASHARA HARAMU MAZAO YA MALIASILI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa akijibu swali bungeni.
……………………………………………………………………………………
Na Lorietha Laurence-Maelezo,Dodoma
SERIKALI imejidhatiti katika kudhibiti ujangili na biashara
haramu ya mazao ya maliasili kwa kuridhia na kutekeleza mikataba minne
ya kudhibiti ujangali wa tembo na unaovuka mipaka na kulinda mapori ya
akiba.
Kuingia kwa sekta ya afya katika BRN kunaleta matumaini mapya
Mtendaji
Mkuu wa PDB Bw. Omari Issa akielezeaumuhimu wa sekta ya Afya kuingia
BRN kuungana na sekta nyingine zilizotangulia zinazoendelea kuzaa
matunda
Subscribe to:
Posts (Atom)