WANAFUNZI HAWA WALIKUWA WANAIMBA WIMBO KUWA USIENDE KUGOMBEA KWENYE JIMBO LA JENISTER UTAPATA AIBU.
MZEE WA MILA ZA KINGONI AKITOA BARAKA ZAKE KWA NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MBUNGE WA PERAMIHO ILI AFANYE KAZI ZAKE VIZURI
WANAFUNZI WAKIIMBA NYIMBO ZA KUMPONGEZA JENISTER KWA KUTEULIWA KUWA NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI.
KUSHOTO NI MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA NA KULIA NI MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA
JENISTER NA KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA SONGEA RAJABU UHONDE WAKISAKATA MUZIKI WA BENDI YA PERAMIHO
WANAFUNZI WA SHULE YA WASICHANA PERAMIHO WAKIONESHA SHOO KWA NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI.
No comments:
Post a Comment