Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizindua kitabu cha
Mpango Mkakati wa miaka mitatu wa kuboresha madawati ya Kijinsia na
Watoto ndani ya Jeshi la Polisi katika uzinduzi uliofanyika Kituo cha
Polisi Chang’ombe, Temeke jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Jeshi
la Polisi nchini (IGP) Said Mwema, wa pili kulia ni Mratibu Mkazi wa
Umoja wa Mataifa nchini Dr. Alberic Kacou, wapili kushoto ni Balozi wa
Umoja wa Ulaya nchini, Balozi Filiberto Ceriani Sebregondi na Kushoto ni
Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
Waziri Nchimbi akatika hotuba yake alilishukuru Jeshi la Polisi pamoja
na Viongozi wa Mashirika na Taasisi zisizo za Serikali kwa kusaidia
masuala ya kupambana na unyanyasaji wa kijinsia nchini
Wednesday, 27 November 2013
MSHINDI WA MKWANJA MREFU WA MILIONI 50 EBSS 2013 ANUKIA KIUKWELI!!
Katika
kuelekea Fainali ya EBSS 2013 kesho kutakuwa na Press Conference pale
katika ufukwe wa ESCAPE ONE Saa Tano Asubuhi, ambapo utawaona washiriki
wote walioingia Fainali kwa pamoja kabla ya siku yenyewe ya Jumamosi
tarehe 30 ambapo wote kwa pamoja tutashuhudia Yule Mshindi wa Milioni
50.
Waliofanikiwa kuingia fainali ni Amina
Tuesday, 26 November 2013
ANGALIA PICHA ZA MAHAFALI KATIKA SHULE YA SKILL PATH ILIYOPO SONGEA MSAMALA
Wanafunzi wa darasa la sita wakimueleza mgeni rasmi namna ya kumpasua simblisi na kumfanya aishi tena
Hawa nao standard six
MGENI RASMI AKIPIMA JANI
Wanafunzi wa awali hatua ya tatu maarufu kama KG 3 Wahitimu
Wanacheza kwaya
HAWA NI KG 1 wanawaaga wenzao
HAWA NI KIDATO CHA NNE NI MAHAFALI YA KWANZA
Hawa nao standard six
MGENI RASMI AKIPIMA JANI
Wanafunzi wa awali hatua ya tatu maarufu kama KG 3 Wahitimu
Wanacheza kwaya
HAWA NI KG 1 wanawaaga wenzao
HAWA NI KIDATO CHA NNE NI MAHAFALI YA KWANZA
Saturday, 23 November 2013
Friday, 22 November 2013
PICHA 15 ZA MAHAFALI YA 18 YA CHUO CHA UFUNDI STADI VETA SONGEA
Wahitimu wanacheza kwaya
Wazazi
Kulia ni kaimu mkurugenzi wa veta nyanda za juu kusini ALEUS EDWINI akiwa na mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Mkirikiti na wa kwanza kushoto ni mkuu wa chuo cha ualimu Songea
Vijana hawa wanapita wakionyesha mavazi ya askari Mgambo.
Vazi la wahitimu wa chuo kikuu
Vazi la ofisini
Vazi la kitchen part
Vazi la wasimamizi waharusi
Vazi la harusi
hapa wanamitindo wanafunzi wa chuo cha VETA SONGEA wanaonesha shoo
Wahitimu
Wapiganaji hawakukosa
Wazazi
Kulia ni kaimu mkurugenzi wa veta nyanda za juu kusini ALEUS EDWINI akiwa na mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Mkirikiti na wa kwanza kushoto ni mkuu wa chuo cha ualimu Songea
Vijana hawa wanapita wakionyesha mavazi ya askari Mgambo.
Vazi la wahitimu wa chuo kikuu
Vazi la ofisini
Vazi la kitchen part
Vazi la wasimamizi waharusi
Vazi la harusi
hapa wanamitindo wanafunzi wa chuo cha VETA SONGEA wanaonesha shoo
Wahitimu
Wapiganaji hawakukosa
Tuesday, 19 November 2013
KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI NDANI YA SONGEA VIJIJINI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kata ya Kahegwa baada ya kushiriki shughuli za kubeba matofali kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya Kahegwa,Katibu Mkuu aliwaeleza wananchi hao kuimarisha moyo wa kujitegemea kwani maendeleo ya Tanzania yataletwa na Watanzania wenyewe na si wahisani.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na mmoja wa wananchi aliyefarijika sana kwa kumsikia Katibu Mkuu akizungumza maneno ya msingi na yenye kutia moyo sana hasa katika suala la kujitegemea.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda mti kwenye zahanati ya Lusonga ambayo kwa asilimia kubwa imejengwa kwa nguvu za wananchi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ,akiwa pamoja na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Ndugu Jenista Muhagama ,Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Ndugu Oddo Mwisho na wakikata utepe wa kufungua jengo la Zahanati ya Lusonga.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisiliza taarifa ya kikundi cha akina mama wajasiriamali watengeneza sabuni ambayo ilisomwa na Fransisca Andrea.
Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya tawi la Mlandizi, Peramiho wilaya ya Songea vijijini.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Peramiho ,wilaya ya Songea Vijijini mkoani Ruvuma.
Mbunge wa Jimbo la Peramiho Ndugu Jestina Muhagama akihtubia wakazi wa Peramiho na kuzungumzia matatizo sugu yanayo wasunbua wananchi wa jimbo lake hasa ukosekanaji wa Pembejeo na kutolipwa pesa wanayodai serikali kwa wakati.
Monday, 18 November 2013
KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI ATUA SONGEA NA KUONGEA NA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU
Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa akiwasalimia wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Biashara na Ushirika mjini Songea leo.
Saturday, 16 November 2013
Friday, 15 November 2013
MKUU WA WILAYA YA SONGEA AZINDUA RASMI MICHEZO YA MAJESHI YA KANDA YA KUSINI INAYOFANYIKA RUVUMA-SONGEA
Wanamichezo wanaingia kwa maandamano
Mkuu wa wilaya ya Songea akipokea Maandamano
Kareti kutoka kwa vijana wa JKT Mlale
Mkirikiti anazindua michezo hiyo kwa kupiga pisto light hewani
Pia alizindua kwa kupiga penati moja matata sana ambayo mlinda mlango hakuiona
Baada ya uzinduzi ni mpira wa miguu tayari kuanza michezo hiyo
Mkuu wa wilaya ya Songea akipokea Maandamano
Kareti kutoka kwa vijana wa JKT Mlale
Mkirikiti anazindua michezo hiyo kwa kupiga pisto light hewani
Pia alizindua kwa kupiga penati moja matata sana ambayo mlinda mlango hakuiona
Baada ya uzinduzi ni mpira wa miguu tayari kuanza michezo hiyo
Subscribe to:
Posts (Atom)