Saturday, 10 August 2013

MANISPAA YA SONGEA KUTOA MIKATABA MIPYA YA KUPANGISHA VIBANDA VYA SOKONI MWISHO TAREHE 30.8.2013

 Wa kwanza kushoto ni mkuu wa soko Songea SALUMU HOMERA, wa pili afisa biashara wa manispaa KEVIN CHARLE, wa nne  Meya wa manispaa CHARLES MHAGAMA na wa mwisho ni Mkurugenzi wa manspaa ZAKARIA NACHOA.
                  Mkurugenzi wa manispaa ya Songea ZAKARIA NACHOA

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO