NYUMBA YA GHOROFA MOJA KIJIJI CHA LIPUMBA WILAYANI MBINGA MKOA WA RUVUMA
Nyumba hii ya ghorofa moja imejengwa katika kijiji cha lipumba katika wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma ambayo Rais wa kwanza wa Tanzania alimsaidia bati za kupaua mwenye nyumba baada ya kuwa imeezekwa kwa nyasi . inasadikiwa .
Nimependa ubunifu huu...pia nimefurahi sana kupata habari za nyumbani
ReplyDeleteUmechanganya stories siyo hii,Nyumba hiyo ilikwisha bomolewa na hizo bati hazikumfikia ulikuwa distance ya kilometa moja kutoka hii,ulikuwa kwenye kijilima na ilijengwa kwa ubunifu wa haki ya juu,aliyetuma bati ni mwinyi siyo nyerere halafu zikapigwa juu kwa juu nenda pale wakupe stori upya

ReplyDeleteNdivyo hata mimi nafahamu. Tena ilikuwa kwenye kona katikati ya mpaka wa Lipumba na Kigonsera
Delete