Tuesday, 16 July 2013

WAZIRI MKUU AKIWA NAMTUMBO AMEFUNGUA HOSPITALI YA WILAYA YA NAMTUMBO, MACHINJIO YA KISASA NA MITAMBO YA UMEME



Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MIZENGO PINDA ameendelea na ziara yake katika mkoa wa RUVUMA ambako akiwa katika wilaya ya NAMTUMBO amezishauri wilaya mbili za NAMTUMBO na TUNDURU Mkoani humo kujenga  hoja ya kuunda mkoa wao ili kuharakisha maendeleo na kusogeza huduma za utawala kwa wananchi

Waziri Mkuu  Mizengo Pinda

pia  mheshimiwaPinda amezungungumziamatatizoyazaoTumbakuakisemaSerikaliinakusudiakuanzishatumemaalumuyakusimamiaushirikanchiniilikuimarishavyamavyaushirikanakukabiliananamatatizoyamasokoyamazao


SikunyingineyaZiarayaMtotowaMkulima, WaziriMkuu MIZENGO PINGA hapaMkoani
Akiwaametokeawilayani TUNDURU, PINDA naUjumbe wake kwanza akawekajiwe la MsingikatikaMajengomapyayaHospitaliyawilayaya NAMTUMBO, alikoisifiakampuniyaMkandalasiMzalendo MKONGO BUILDING and CONSTRUCTION

AkizungumziaUjenziwaHospitalihiiyawilayaWaziriMkuu PINDA amejibukilio cha wilayaya NAMTUMBO cha 
kuiombaSerikaliiongeamgaowafedhazaukamilishajiwaHospitalihiiyawilayaambayohupatashilingimilioni 300 kilamwaka, fedhaambazozitalazimuujenzihuokukamilikabaadayamiakakumiijayo

PamojanaMradihuuwaUjenziwaHospitaliyawilayayaNamtumboWaziriMkuu PINDA piaamezinduamachinjioyaKisasayawilayaya NAMTUMBO ambayoimegharimushilingimilioni 148 inauwezowakuchinjangombe 25 kwawakatimmojanambuzinakondoozaidiya 60 

NAMTUMBO ambapoNaibuWaziriwaNishatinaMadini STEVEN MASELE ametoataarifayaUtekelezajiwaMradiwakupelekaUmemeVijijinikwanchiNzima

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO