MHITIMU WA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI AKIVUNJA VIGAE KWA KUPIGA
NGUMI LEO MJINI MOSHI ALIPOKUA AKIFANYA ONYESHO LA UKAKAMAVU WAKATI WA
SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YALIYOJUMUISHA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI.
TAKRIBANI ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI WALIHITIMU MAFUNZO,
WAKIWEMO ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA KATIKA CHUO CHA POLISI
MOSHI (CCP).
MHITIMU WA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI AKIJIANDAA KUVUNJA VIGAE
KWA KUPIGA NGUMI LEO MJINI MOSHI ALIPOKUA AKIFANYA ONYESHO LA UKAKAMAVU
WAKATI WA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YALIYOJUMUISHA ASKARI POLISI NA
UHAMIAJI. TAKRIBANI ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI
WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA KATIKA
CHUO CHA POLISI MOSHI (CCP).
Wahitimu
wa mafunzo ya awali ya askari polisi wakifanya onyesho la kareti jana
mjini moshi wakati wa sherehe za kufunga mafunzo yaliyojumuisha askari
polisi na uhamiaji. takribani askari polisi elfu tatu na tisini na mbili
walihitimu mafunzo, wakiwemo askari wa uhamiaji hamsini na moja katika
chuo cha polisi moshi (ccp).
KIKUNDI
CHA KARETI NA JUDO CHA WAHITIMU WA MAFUZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA
UHAMIAJI WAKIFANYA ONYESHO LA KARETI KWA MGENI RASMI MH, Dr. EMMANUEL
NCHIMBI WAKATI WA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO HAYO. TAKRIBANI ASKARI
POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO ASKARI
WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA KATIKA CHUO CHA POLISI MOSHI (CCP).
Askari
polisi waliohitimu mafunzo, wakionyesha pikipiki inavyoweza kusaidia
katika kukabiliana na wahalifu kwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi mh,
dr. Emmanuel nchimbi aliyekua mgeni rasmi katika sherehe za kufunga
mafunzo ya awali kwa askari polisi na uhamiaji jana mjini moshi.
takribani askari polisi elfu tatu na tisini na mbili walihitimu mafunzo,
wakiwemo askari wa uhamiaji hamsini na moja.Picha na Hassan
Mndeme-Jeshi la Polisi.
--
--
Zaidi
ya Askari Polisi wapya 3,092 wamehitimu mafunzo yao ya awali ya Polisi
katika Chuo cha Polisi (CCP) kilichopo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Polisi
hao wapya ambao wanaingia mtaani nchi nzima wataingia mtaani wakati
wowote kuhakikisha ulinzi wa raia na mali zao unakuwa madhubuti.
Mafunzo
yao yamefungwa chuoni hapo na Waziri Mwenye dhamana ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi kwa kushuhudia maonesho mbalimbali ya vitu
walivyo jifunza jambo ambalo endapo kama watalitumia vyema basi
litaleta chachu katika kukabiliana na uhalifu unao tikisa katika maeneo
mbalimbali ya nchi pamoja na watu wasio tii sharia hadi washurutishwe.
No comments:
Post a Comment