Mshindi wa
Redds Miss Kinondoni 2013, Lucy Tomeka akivalishwa taji lake na mrembo
aliyekuwa akilishikilia taji hilo Redds Miss Tanzania 2012/2013, Bright
Alfred. Lucy Tomeka aliweza kuchukua taji hilo kwa kuweza kuwagalagaza
wenzake wapatao 12 katika kinyang'anyiro hicho kilifanyika jana ukumbi
wa hoteli ya Golden Tulip jijini Dar.
Warembo
waliofanikiwa kuingia katika tano bora wakifurahia kwa pamoja, katikati
ni Redds Miss Kinondoni 2013 Lucy Tomeka, (shoto kwake) ni Prisca
Clement, (kulia kwake) ni Phillios Lemi. Wengone ni Sarah Paul (kwanza
kulia) na Linda Joseph (kwanza kushoto).
Tatu bora
ni katikati ni Redds Miss Kinondoni 2013 Lucy Tomeka, (shoto kwake) ni
Prisca Clement, (kulia kwake) ni Phillios Lemi. Habari na G .sengo
No comments:
Post a Comment