RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amerejea kauli yake kuhusu
mgogoro wa udini akisema kila mtu ana haki ya kuchinja kutokana na imani yake
ilimradi tu asivunje sheria za nchi.
Mwinyi alisema anashangaa kuona watu wakigombania kitu kidogo kama kuchinja
ilihali Tanzania ina utamaduni wa amani siku zote na kwamba kila mtu ana imani
yake ya dini anayoiamini.
Kiongozi huyo mstaafu alitoa msimamo huo jana jijini Dar es Salaam katika
kongamano
No comments:
Post a Comment