Mkuu wa mkoa wa
ruvuma SAID thabit MWAMBUNGU
Hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa wa Ruvuma SAID MWAMBUNGU wakati
alipo tembelea katika ofisi za magereza zilizopo Mahenge Mjini Songea ambapo
amewataka askari wa jeshi la magereza kujishughulisha na shughuli zingine za
kiuchumi ilikuongeza kipato chao lakini wahakikishe hizo shughuli
hazihasili,kudhuru au kuingilia maadili ya kazi zao.
Mkuu wa Magereza Mkoani Ruvuma ASP ALLY A. KEREHEWA katika ripoti yake kwa Mkuu wa Mkoa alitanguliza shukrani zake za dhati kwa kutembelea magereza kwani kwa mala ya mwisho kwa viongozi kutembelea magereza kwa mkoa wa Ruvuma ilikuwa ni 27.9.2009.
Kwa mkoa wa Ruvuma unajumla ya watumishi 421,wafungwa 395 na mahabusu 321
ambapo kwa Mkoa wa Ruvuma unajumla ya magereza 6 ambayo ni gereza la Kitai lililopo
wilayani Mbinga ambalo lilianzishwa mwaka 1969 na linajishughulisha na kilimo
cha mahindi na ufugaji,gereza lingine ni la Songea Mjini lililo anzishwa mwaka
1948 na linajishughulisha na Usafi wa mazingira,kilimo ch a bustani na ujenzi
na magereza mengine ni gereza la Tunduru,Mkwayu,Majimaji lililopo wilayani
Tunduru na gereza lingine ni la mbinga.
Pia Askri wa magereza alichukuwa fursa hii kumueleza Mkuu wa mkoa kuhusiana
na changamoto ambazo zinawakabiri kwa kiasi kikubwa ni pamoja na hustawi wa
watumishi ni hafifu ikiwa pamoja nyumba ambazo wanaishi na ombilao kubwa kwa
Mkuu wa Mkoa lilikuwa ni kupatiwa ofisi mpyaa ambayo inajitoshereza na hapo
Bwana Said Thabit Mwambungu alihaidi mifuko 50 ya simenti kwa ajili ya ujenzi
wa ofisi hiyo.
No comments:
Post a Comment