huku tarime inaonekana kama kuishi
border ni mkosi sasa mkuu wa wilaya amezuia mahindi yasisafirishwe
kwenda ndani ya maeneo mengine ya nchi kwa utashi wake mwenyewe
huku akisingizia kuwa yana sumu bila vipimo
lakini pia ameungana na TRA TARIME wanadai kila lorni 1 kulipa fine ya dola elf 5 je swali ukilipa fine ya dola elfu 5 sumu inaisha?
huku akisingizia kuwa yana sumu bila vipimo
lakini pia ameungana na TRA TARIME wanadai kila lorni 1 kulipa fine ya dola elf 5 je swali ukilipa fine ya dola elfu 5 sumu inaisha?
hii pia ni unyanyasaji mpya ulioibuka hapa mbaya zaidi madereva wa malori haya wanak amatwa na kupigwaa
tunaomba wizara ya kilimo,kazi ajira na vijana,viwanda na biashara,watusaidie kuliko kuingia uhalifu huku
sisi ni wakulima halali wa nchi kama sasa hata tutashindwa kujiajiri kwa mavuno tutafanya kazi gani?
kwa niaba ya wakulima na wasafirishaji wa nafaka Tarime
chacha heche katibu wa muda
tunaomba wizara ya kilimo,kazi ajira na vijana,viwanda na biashara,watusaidie kuliko kuingia uhalifu huku
sisi ni wakulima halali wa nchi kama sasa hata tutashindwa kujiajiri kwa mavuno tutafanya kazi gani?
TARIME IMEKUWA KISIWA HUWEZI KUFANYA KAZI KWA UHURU MAMLAKA ZINATUMIKA VIBAYA
sasa tunaamuliwa kuchoma moto shehena
ama tusage mahindi tule!! zaidi ya tani mia 5 tutakula mpaka lini? na t
ukisaga sumu inaisha?kwa niaba ya wakulima na wasafirishaji wa nafaka Tarime
chacha heche katibu wa muda
No comments:
Post a Comment