Saturday 17 May 2014

MAPOKEZI YA ASKOFU MKUU MTEULE WA JIMBO KUU KATOLIKI LA SONGEA DAMIAN DALLU ALIVYOPOKELEWA NA UMATI WA WATU KATIKA MANISPAA YA SONGEA.


















MAPOKEZI YA DAMIAN DALLU BOMBAMBILI










MAPOKEZI YA ASKOFU WA JIMBO KUU KATOLIKI LA SONGEA KATIKA KIJIJI CHA NDELENYUMA SONGEA VIJIJINI

                                HAPO NI KATIKA NYUMBA YA MASISTA NDELENYUMA


 Baadhi ya mapadre masista na ProfessaMBILINYI mwishoni.

 WA kwanza Askofu wa jimbo la Iringa, katikati Askofu wa jimbo kuu la songea na watatu ni Naibu wa Askofu wa jimbo la songea CAMILLUS HAULE

 huyu ndie mteule aliyempendeza bwana DAMIANI DALLU akiwa na naibu wa ASKOFU
                             Wanafunzi nao walikuwepo katika mapokezi hayo
                                                                         WANAKWAYA

TUPE MAONI YAKO