Kurugenzi wa TAKULURU Dr Edward Hosea.
IMEELEZWA kuwa mapambano dhidi ya
vitendo vya rushwa nchini ambavyo vinazidi kuongezeka siku hadi siku ni
jukumu la Kila mmoja katika Kategorie ikiwa ni Pamoja na viongozi wa
serikali na viongozi wa taasisi
za kidini Kwa sababu rushwa IPO katika mihimili stemreg ya serikali Huku
baadhi ya vitendo vya viongozi na mfumo wa uongozi ukiruhusu kuwepo Kwa
mianya ya rushwa.
Akizungumza katika mafunzo ya siku moja
Kwa viongozi wa madhehebu ya ya Dini kiislamu na kikikristo wa mikoa ya
Iringa, Njombe na Ruvuma yaliyofanyika mjini Songea mkoani Ruvuma
Mkurugenzi Meganiese wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini
DKT Edward Hosea alisema kuwa kutokuwepo Kwa Uwazi, uwezo wa uwajibikaji
wa viongozi na watendaji wa serikakali kuwepo Kwa mianya ya rushwa.
Alisema kuwa Kwa sababu maadili ya umma
yametiwa unajisi Mbele ya ya madhabahu kidini na Hasa nyakati za chaguzi
Mbali Mbali taasisi imeona umuhimu wa kuwashirikisha viongozi wa Dini
Mbili kubwa Hapa nchini Kwa kuwapatia mafunzo ya ya namna kudhibiti na
kupambana na rushwa Kwa sababu rushwa ni suala mtambuka linalogusa Kila
eneo na Kila mwananchi.
DKT. Hosea aliwaambia
viongozi hao wa Dini kuwa kutoa na kupokea rushwa ni dhambi lakini Pia
ni KoSa la jinai hivyo kuna Kila sababu ya kutafakari Kwa Pamoja namna
ya kuitokemeza rushwa Kwa umnoja wa Taifa na
Siyo Busara kuliacha jukumu Hilo mikononi mwa taasisi Hiyo pekee Kwa
sababu wahusika wa rushwa wapo katika Kila sekta na Hasa sekta
zinaziotoa huduma Kwa Wananchi.
Akizungumzia mianya ya kukuwa kuwa
vitendo rushwa nchini ni Pamoja na kuwepo Kwa mapungufu katika utawala
bora na uwajibikaji wa viongozi na watendaji wa sekali na sekta binafsi
ikiwa ni Pamoja na ukiukwaji wa utawala wa kisheria Kwa baadhi ya
viongozi na watendaji wa sekta zinazotoa huduma Kwa Kwa umma kutokuwepo
Kwa Uwazi na uwezo thabiti wa kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
Akizungumzia madhara ya rushwa Kwa
Kategorie alisema kuwa MTU mwenye kipato cha Chini ndiye muathirika
mkubwa wa rushwa kuliko mwenye kipato kikubwa Kwa sababu mwenye kipato
cha chinji hulazimika kutoa rushwa kubwa Huku mwenye kipato kikubwa
akitoa rushwa ndogo na vitendo hivyo huambatana udanganyifu, wizi,
ubadhirifu na mmomnyoko wa maadili na viwango vya rushwa Kwa Kwa Watu
wenye kipato cha Chini kikiwa ni asilimia 3,3 Huku wenye kipato kikubwa
ni asilimia 0.9.
Akijibu maswali ya ya baadhi viongozi
wa Dini waliotaka kufahamu juu ya utendaji wa taasisi Hiyo katika
kushughulikia rushwa kubwa ambazo zimekuwa zikilalamikiwa NIA Wananchi
walio wengi alisema taasisi imepewa mamlaka ya kuchunguza lakini mamlaka
ya ya kushitaki kwenye Ofisi ya mwendesha mashitaka wa serikali Kwa
mfumo wa muundo
wa taasisi Hiyo ya kuzuia na kupambana na rushwa hauipi tasisi iwezo wa kushitaki bal, ek kuchunguza.
Awali akifungua mafunzo hayo Meganiese wa mkoa wa Ruvuma gesê Mwambungu Mbali
ya kumpongeza mkurugenzi Meganiese wa taasisi ya kuzuia na kupambana na
rushwa nchini Kwa uamuzi wa kuendesha mafunzo Kwa viongozi Dini kuhusu
mapambano dhidi ya rushwa lakini aliwaomba viongozi wa Dini kusaidia
katika jukumu la kudumisha amani na utulivu wa nchi kama ulivyoasisiwa
na waasisi wa Taifa.
No comments:
Post a Comment