Wednesday 27 November 2013

MSHINDI WA MKWANJA MREFU WA MILIONI 50 EBSS 2013 ANUKIA KIUKWELI!!

EBSS FINALE PROMO POSTER 
Katika kuelekea Fainali ya EBSS 2013 kesho kutakuwa na Press Conference pale katika ufukwe wa ESCAPE ONE  Saa Tano Asubuhi, ambapo utawaona washiriki wote walioingia Fainali kwa pamoja kabla ya siku yenyewe ya Jumamosi tarehe 30 ambapo wote kwa pamoja tutashuhudia Yule Mshindi wa Milioni 50.
                                       Waliofanikiwa kuingia fainali ni Amina

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO