Wednesday 13 February 2013

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MSAMALA ILIYOPO SONGEA MKOANI RUVUMA

 Wanafunzi wanaosoma masomo ya sayansi katika shule ya sekondari ya Msamala Songea walipotembela TBC kwa ajili ya kujifunza masuala ya utangazaji na namna gani sauti inasafiri hewani ikitokea studio.
Wanafunzi hao wakiwa na Mtangazaji mkongwe Hannah Mayige akiwaelekeza masuala ya utangazaji
wanafunzi hao wakisikiliza kwa makini

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO