Wednesday 2 October 2013

VIJANA JKT MLALE SONGEA RUVUMA WAKO TAYARI KULIJENGA TAIFA

 Wa kwanza kushoto ni Major THOMAS MPUKU akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbinga      SENYI NGAGA wakitazama vijana waliohitimu mafunzo katika kikosi cha JKT MLALE
                                                                  Heshima kulia
                                                 Wamesimama kupokea heshima ya Gwaride
                                     Hapo hakuna mchezo vumbi linaashiria wapo kazini


                             Angalia mguu wa kiongozi wa  kikosi cha gwaride alivyonyosha mguu
                                                               Macho mbele

1 comment:

  1. asante jkt katika ujenzi wa taifa mungu awabaliki watu wote katika ujenzi wa taifa

    ReplyDelete

TUPE MAONI YAKO