Thursday 17 October 2013

WACHEZAJI HAWA HATARI SANA WAKIKAMATA MPIRA WAKIWA KATIKKATI YA UWANJA UJUE NYAVU ITATIKISIKA TU

 Wa kwanza kushoto anapiga chenga mpka golini  aliyekuwa katikati mzee wa mashuti makali sana kipa huwa haoni mpira wake aliyeshika mpira mbaya wa kona akipiga kona haigusi mtu hadi wavuni.
Wa kwanza kushoto ni ISSA RASHIDI wa katikati ni GERSON MSIGWA na ALIYESHIKA Mpira ni FLORIAN MSIGWA.

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO