Thursday 14 March 2013

TUJIJENGEE MAZINGIRA YA KUPIMA AFYA ZETU


Siku ya mmiliki wa blog ya demashonews alipochukua jukumu la kupima afya yake kwa hilayali katika kituo cha afya kilichopo Madaba songea vijijini Mkoani Ruvuma.
Ni uso wenye furaha tele baada ya kupewa majibu yake " wito wangu kwa watanzania wenzangu kuwa na  tabia ya kupima afya zetu mara kwa mara tusingojee pale unapokuwa na tatizo ndipo ukapime afya yako" hayo ndio maneno aliyoyasema mmiliki wa blog ya demashonews baada ya kupima afya .

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO