Wednesday 10 April 2013

HUU NI UBUNIFU WA HALI YA JUU

Mtu mmoja kajenga uwanja wa mpira wa miguu (soka) kwa kutumia matete na watu wanakanyaga soka    kama kawaida ni katika wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma

                                        Na kidedea kama kawaida
                                          Hapa  ni geti la kuingia ndani bila kiingilio huingii

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO