Thursday 11 April 2013

SULUU HII HAPA


RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amerejea kauli yake kuhusu mgogoro wa udini akisema kila mtu ana haki ya kuchinja kutokana na imani yake ilimradi tu asivunje sheria za nchi.

Mwinyi alisema anashangaa kuona watu wakigombania kitu kidogo kama kuchinja ilihali Tanzania ina utamaduni wa amani siku zote na kwamba kila mtu ana imani yake ya dini anayoiamini.

Kiongozi huyo mstaafu alitoa msimamo huo jana jijini Dar es Salaam katika kongamano


No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO