Saturday 6 April 2013

WAANDISHI WA HABARI WAKITOKA KAZINI

Waandishi wa habari wakiwa katika kijiji cha Lusonga baada ya kumaliza kazi yao wa kwanza kulia ni mmiliki wa demashonews.blogspot.com Hamza Mashole, Wa pili kulia mmiliki wa Cathyhabari.blogspot.com Catherine Nyoni, wa tatu ni Mtangazji wa TBC Songea Hannah Mayige na wa nne ni mmiliki wa Joicyblog Joicy Joliga

Catherine Nyoni akitafakari jambo.

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO