Saturday 3 August 2013

       Mwandishi wa habari wa TBC Songea GERSON MSIGWA akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya    Songea JOSEPH JOSEPH MKIRIKITI

Wa kwanza kushoto ni AGUSTINO MBUNDA Muasisi wa RPC wa pili ni mwenyekiti wa RPC wa tatu ni katibu wa RPC  Wa nne ni Nathan Mtega mwakilishi wa IPP Media na wa mwisho ni Mkurugenzi wa manispaa bwna ZAKARIA NACHAO Wakimsubiri mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Ruvuma SAIDI MWAMBUNGU

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO