Tuesday 13 August 2013

WAANDISHI WA HABARI WA MKOA WA RUVUMA WAKIWA KWENYE MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI ZA MAKAKLA

 Wa kwanza kushoto ni GRACE AMRIKE mwandishi wa Gazeti la Uhuru, wa  pili ni AMON MTEGA mwandishi wa Gazeti la Mtanzania na wa mwisho ni SIMBAYA kutoka printing press Peramiho

 Wa kwanza kushoto ni GIDION MWAKANOSYA Mwandishi wa Nipashe, wa pili ni GEOFREY NILAI wa Radio Maria, Wa tatu ni ENDREW CHATWANGA  na mwisho ni JULIUS KONALA


 Wa kwanza kushoto ni Joicy Joliga wa mwananchi, wa Pili ni ALPIUS MCHUCHA, na watatu ni DUSTUN DUNGURU  wa UHURU
                              Mwezeshaji wa mafunzo hayo bwana EVARIST MWITUMBA

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO