Thursday 8 August 2013

USAFIRI HUU SIO SALAMA KWA ABIRIA

 Ni katika wilaya ya Namtumbo nilipomuuliza dereva wa gari hilo anaelekea wapi akasema wanaenda kwenye mechi lakini ukweli ni kwamba gari hilo linaenda kijiji cha Magagura Licha kuonekana kama bovu hivi.

                                                  Dereva anawaambia abiria wakae vizuri
                                                              Safari imeanza

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO