Thursday 8 August 2013

BURIANI MCHUNGAJI GEORGE JOACKIAMU KOMBA WA SONGEA -RUVUMA

 Mchungaji George Komba alisoma shule ya msingi Songea na shule ya sekondari Ruvuma day kwa wale waliosoma shule ya Sekondari ya Ruvuma kuanzia mwaka 1992 watakuwa wanamkumbuka vizuri baadaye alienda kusomea uchungaji Dar es salaamu na Nairobi nchini kenya alikuwa anasimamia kanisa la Tanzania Derivarance church lililopo eneo la Msamala katika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.


No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO