Saturday 3 August 2013

 Mwandishi wa habari Stevene Agustino  wa Tunduru kushoto akisalimiana na Katibu wa chama cha waandishi wa habari wa Mkoa wa Ruvuma RPC Andrew Chatwanga nje ya ukumbi wa manispaa ulipofanyika mkutano mkuu wa mwaka wa waandishi wa habari wa Ruvuma
Kushoto ni mwenyekiti wa RPC BW Andrew kuchonjoma akizungumza na mwandishi wa habari wa TBC Songea Gerson Msigwa nje ya ukumbi.

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO