Friday 9 August 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SWALA YA SIKUKUU YA IDDI KITAIFA MKOANI TABORA

001B 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Shaaban Bin Simba, mara baada ya Swala ya Iddi iliyofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo Agosti 9, 2013. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wa sita kutoka kulia), akishiriki na waumini wa dini ya Kiislamu katika Swala ya Sikukuu ya Iddi, iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora leo, Agosti 9, 2013. Picha na OMR
03 
04

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO