Wednesday 24 July 2013

BURIANI RODNEY NDUNGURU WA SONGEA MMOJA WA ASKARI WALIOUWAWA DARFUR


Asikari wa JWTZ wakiwa wamebeba mwili wa Rodney Ndunguru tayari kwa mazishi jana


Aliye kaa katikati ni mama wa marehemu Rodney Ndunguru
 Askari wakiwa wamebeba mwili wa marehemu Rodney Ndunguru wakati wakielekea  katika makaburi ya Mjimwema

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO