Tuesday 2 July 2013

MKE WA RAIS OBAMA MICHELLE NA MKE WA RAIS KIKWETE WAKIWA KATIKA OFISI YA WAMA




Mke wa Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma (kulia), akiwa na mgeni wake, First lady, Michelle Obama, kwenye Ofisi za Wama.
Hapa wakiwa Makumbusho ya Taifa, wakipokea mau kwa ajili ya kuweka kwenye mabaki ya vifaa vilivyolipuliwa na bomu kwenye Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam.
Wake hao wa Marais wa Marekani na Tanzania, wakiweka mashada hayo kwenye mabaki hayo kwa ajili ya kuwakumbuka waliopoteza maisha yao kwenye tukio hilo.
Wakiwaombea wahanga hao, mara baada ya kuweka mashada hayo ya maua

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO