Thursday 25 July 2013

RAIS KIKWETE AWASILI BUKOBA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU SITA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Kagera Mhe.   Fabia Massawe baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Bukoba leo tayari kuanza ziara ya kikazi ya siku sita mkoani humo
 Rais Kikwete akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman ambaye pia yuko mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi
      Rais Kikwete akisalimiana na Mstahiki Meya wa Bukoba Mhe Anatory Amani
 Vijana wa Skauti wa Bukoba wakimlaki Rais Kikwete uwanjani hapo
       Wanahabari toka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa kazini
       Kijana wa Skauti akipiga saluti kuomba kumvisha skafu Rais Kikwete
                                            Rais Kikwete akivishwa skafu
  Rais Kikwete akisalimiana na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli. Kushoto ni Waziri wa Maji     Profesa Jumanne Maghembe
        Rais Kikwete akisalimiana na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo
Rais Kikwete akisalimiana na viongozi na wananchi waliofika uwanjani kumlaki
                                         Rais Kikwete akisalimiana na Mkuu wa JKT

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO