Tuesday 2 July 2013

Rais Barack Obama alivyopokelewa kwa shangwe na vifijo Ikulu Dar es Salaam Tanzania

Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama wakipokewa kwa shangwe Ikulu,Jijini Dar es Salaam
Rais Barack Obama wa Marekani na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete wakipokewa kwa shangwe Ikulu,Jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiongozana na mgeni wake,Rais Barack Obama wa Marekani wakati walipokuwa wakielekea sehemu iliyoandaliwa kwa ajili ya kukutana na kuzungumza na waandishi wa habari Ikulu,Jijini Dar es Salaam
Rais Barack Obama wa Marekani na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete wakizungumza na waandishi wahabari Ikulu,Jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akimpa maelezo Rais Barack Obama kuhusu mti wa mpingo kabla ya kuupanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Obama akipanda mti wa mpingo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha na Issa Michuzi,IKULU.
Ulinzi.


 Rais Barack Obama, mkewe, Michelle na watoto wao, Sasha na Malia.
Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Rais Barrack Obama wa Marekani muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Barrack Obama wa Marekani

Rais Barrack Obama akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ).
Rais Jakaya Kikwete akimtambulisha Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein kwa Rais Obama.

Rais Jakaya Kikwete akimtambulisha Makamu wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi kwa Rais Obama.
Rais Jakaya Kikwete akimtambulisha Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Amiri Kificho kwa Rais Barack Obama.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange akisalimiana
na Rais Barrack Obama katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere jijini
Dar es Salaam leo.

Rais Dkt.Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwaongoza wageni wao Rais Barrack Obama wa Marekani na mkewe Michelle kuangalia ngoma mbalimbali za utamaduni
Rais Jakaya Kikwete na mgeni wake Rais Barrack Obama wa Marekani
wakifurahia na kufuata mapigo ya ngoma za utamaduni katika uwanja wa
Ndege wa Mwalimu jijini Dar es Salaam

Rais Jakaya Kikwete akiwatambulisha baadhi ya viongozi waandamizi
wa serikali kwa Rais Barack Obama na mkewe katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

 Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais Barack Obama wa Marekani akikagua gwaride la heshima wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 
 
 Bendera ya Tanzania ikiwekwa katika gari lililombeba Rais wa Marekani, Barack Obama.
Gari alilopanda Rais Obama kutoka uwanja wa ndege
 Rais Barack Obama akishuka katika ndege iliyomleta huku akifuatana na familia yake akiwemo mkewe, Michelle na watoto wao Sasha na Malia.
Rais Obama na mkewe, Michelle wakipokea maua.
Picha zote kwa hisani ya Freddy
Maro, Ikulu na
Habari Mseto Blog.

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO