Monday 1 July 2013

RAIS OBAMA AKIWA ANASHUKA AIRPORT TANZANIA LEO 01/07/2013

Rais Barack Obama wa nchini Marekani na Mkewe Michelle Obama wakiwa sambamba na watoto wao,wakiwasili mchana huu kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,jijini Dar es Salaam  kwa ziara ya siku mbili hapa nchini.

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO