Tuesday 16 July 2013

UZINDUZI WA UPIMAJI AFYA KWA BENKI YA CRDB 15-07-2013, MAKAO MAKUU YA BENKI YA CRDB AZIKIWE DAR ES SALAAM







UZINDUZI WA UPIMAJI AFYA KWA BENKI YA CRDB 15-07-2013, MAKAO MAKUU YA BENKI YA CRDB AZIKIWE DAR ES SALAAM. 
 
1468. Mtendaji Mkuu wa Benki ya CRDB Dr. Charles Kimei akizungumza wakati wa uzinduzi wa upimaji wa Afya , zoezi litakalo endeshwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa kazi (OSHA), kwenye matawi ya benki hiyo nchi nzima. 
1477. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa kazi (OSHA) Dr. Akwilina Kayumba akielezea jinsi zoezi hilo litakalofanyika kwa wafanyakazi wa benki ya CRDB kwenye matawi yake yote nchi nzima, ikiwa ni mpango wa kuhakikisha wafanyakazi wanafanyakazi katika mazingira salama.

1484. Mtendaji Mkuu wa Benki ya CRDB akifanyiwa vipimo wakati wa zoezi la uzinduzi wa upimaji Afya kwa wafanyakazi wa benki ya CRDB, kwenye ofisi za makao makuu ya benki hiyo Jijini Dar es salaam
1506. Baadhi ya Madaktari toka OSHA wakichukua maelezo toka kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB, ikiwa ni mwanzo wa zoezi la upimaji Afya kwa wafanyakazi zaidi ya 2000 wa Benki ya CRDB ambao wanatarajiwa kupimwa Afya zao( Fitness to work) hivi karibuni kwenye matawi yote                                                                                            
Picha na habari na PAUL GYUNA afisa habari wa OSHA
 
IMG_1477.JPG
 
IMG_1484.JPG
IMG_1506.JPG

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO