Thursday 11 July 2013

MWANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA ATEKWA NYARA . AZIRAI MASAA 15 , AOKOTWA MLIMA NYOKA KILOMETA 15 KUTOKA MBEYA MJINI

 Kijana Emanuel Komba umri wa miaka (15)  kidato cha kwanza Shule ya sekondari Ilomba mkazi wa Mama John kata ya Ilomba Jijini Mbeya ambaye alitekwa  akiwa anapelekwa uwani
 Emanuel Komba umri wa miaka (15)  kidato cha kwanza Shule ya sekondari Ilomba  akiwa ameshikiliwa
 Majirani wakiwa wanasubiri kusikia kutoka kwa Emanuel Komba umri wa miaka (15)  kidato cha kwanza Shule ya sekondari Ilomba
 Mama mzazi wa Emanuel Komba umri wa miaka (15)  kidato cha kwanza Shule ya sekondari Ilomba Vumilia Komba akiwa anatoka kumtazama mtoto wake
 Vumilia Komba mama mzazi wa mtoto akiwa anataka kuulizwa maswali
Vumilia Kom Mama mzazi wa kijana huyo ba  akihojiwa na waandishi wa Habari
 Ndugu jamaa na Marafiki pamoja na mzazi wa mtoto wakiwa wanatoa vitu vya mwanafunzi huyo
 Shati hili lilikuwa limechanwa ambalo ndilo lilitumika kuchanwa  na kumfunga mikono na kumziba mdomo


 Nguo pamoja na Viatu alivyokuwa amevivaa muhanga   wa tukio

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO