Wednesday 26 December 2012

AUA WATU 183 KWA NJIA YA KISHIRIKINA (UCHAWI) NAMTUMBO- RUVUMA

Mzee Magnisu Haule anaye tuhumiwa kwa kuuwa watu  183 kwa uchawi

 FROLA NDEMBO au maarufu kama binti Ndembo akiwa na Mzee Magnisu Haule
 Mzee Magnisu Haule akiwa katika pozi
                                                Binti Ndembo akitoa maelezo

Ama kweli Ukishangaa ya musa utaona ya filauni ama kweli dunia kizungumkuti ni katika kijiji cha Namabengo Wilaya ya Namtumbo  mkoani
Ruvuma mzee mmoja nayejulikana kwa jina la Magnisu Haule anatuhumiwa
kuuwa watu 183 kwa njia ya kishirikina tangu aliponza mambo hayo ya
kishirikina . 


Mzee Magnusi alitoa maelezo hayo mbele ya kamanda wa polisi wa mkoa wa
Ruvuma DEUSDEDIT NSIMEKI baada ya kuletwa kituoni hapo na mganga wa jadi maarufu hapa katika mkoa wa Ruvuma anayejulikana kwa jina la
FROLA NDEMBO au maarufu kama binti Ndembo

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi mzee Magnus alipotakiwa
kueleza kuwa watu wote hao amewaua kwa sababu gani hakusita kusema kwa uwazi kuwa amekula nyama.


Na alipoulizwa kwanini asile nyama ya ngombe  hakusita kujibu kuwa
nyama ya ngombe sio tamu kama nyama ya watu.

Mzee Magnius alisema pia kuwa alikuwa analipiza kisasi kwa mtu ambaye
alitaka kumuua na kuchukua sehemu zake za siri kwa hiyo yeye akaanza
kumuua Yule mtu ambaye hakumtaja jina na kufuatia wengine.

Akaongeza kuwa yeye anamuua mtu ambaye anadawa za kumzuru yeye na sio Yule mtu aliyeenda kutaka kumuua.


DU ndipo watu waliponza kupigwa na butwaa bila kupata majibu . Ama
kweli ubinadamu kazi.

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO