Monday 17 December 2012

KAMATI TENDAJI YA SHIRIKA LA PADI YAKUTANA

Kulia ni mwenyekiti wa shirika la padi bi VERONICA KAZINYORO , Kushoto ni katibu mtendaji wa shirika la PADI bwana ISKAKA MSIGWA wakiongoza kikao cha kamati ya utendaji.

wajumbe wa kamati ya utendaji wa shirika la PADI.

Ni moja kati ya zaadi zilizotolewa nashirika la thefoundation for civil society kwa shirikala padi baada ya kuwa wa kwanza yaliposhindanishwa mashirika karibu mia saba Tanzania. SHIRIKA LA PADI kushika nafasi ya kwanza.

hii ni zawadi ambayo shirika la PADI ilizawadiwa mwaka jana baada ya kushika nafasi ya pili.
Na hii ni zawadi  waliyo zawadiwa shirika la PADI baada ya kushika nafasi ya kwanza mwaka huu kati ya mashirika yasiyo kuwa ya kiserikali mia saba ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO