Saturday 29 December 2012

Changamoto Ya Usafiri Sumbawanga

 Sehemu ya barabara ikiwa imeharibika baada ya mvua kunyesha katika kijiji cha kianda,Sumbawanga
Basi likiwa limekwama,jana asubuhi kijiji cha Kianda Sumbawanga
 'Greda' likisaidia kuvuta basi baada ya kukwama kwenye tope.Jana mchana,Kianda-Sumbawanga

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO