Tuesday 18 December 2012

Wizara Ya Nchi Ofisi Ya Rais Yakutana Na Mwenyekiti Wa Baraza La Mapinduzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya  Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Mwadini Makame,(kulia) akitoa taarifa ya utekelezaji wa Kazi za Wizara hiyo,katika Mkutano  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ukujumuisha na watendaji  katika ukumbi wa Mkutano wa Ikulu Mjini Zanzibar,ikiwa ni mfululizo kwa kila Wizara kuzungumzia   utekelezaji wa kazi zake.
                        [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO