Monday 17 December 2012

SHIRIKA LA PADI LATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WASIOONA

Wafanya kazi wa shirika la PADI wakiwa na Mstaiki Mea Chares Mhagama katika shule ya Msingi Ruhila iliyopo maeneo ya Mshangano mjini Songea.

Baadhi ya vifaa shule na magodoro vilivyo tolewa na shirika la PADI

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ruhila

Miongono mwa wanafunzi ambao wanaulemavu wa kutoona wakicheza kwaya

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO