Friday 21 December 2012

Harusi ya kihistoria yenye majonzi makubwa.

image
Arin Safadi 24) ni raia wa Golan Height (mji unaokaliwa na Israel) ambaye alichumbiwa na kutarajiwa kuolewa na mchumba wake Arin Safadi (24) toka mji wa Sysria. 
Story yao inasikitisha ingawa ni mwanzo wa maisha kwao wote. kutokana na nchi hizo mbili kutokuwa na uhusiano mzuri wala wa Kibalozi, safari za Binti kwenda kuishi Syria inakuwa ni chungu kwa upande wa familia ya Binti kwani hawawezi kumuona tena, kwani hatoruhusiwa kurejea nchini kwake na kusisitiza hilo inabidi asaini makaratasi mpakani kabla ya kuvuka.
Tukio hili lina zaidi ya mwaka mmoja na limepelekea kampuni kubwa ya utengenezaji wa sinema kuamua kuintengenezea sinema baada ya kuvuta hisia za watu wengi pale picha hizi zilipochapishwa kwenye magazeti kwa mara ya kwanza.
Gonga hapa upate story nzima kwa picha toka kwa mpiga picha wa AP Dan Balilty.
Israeli-Druze bride Arin Safadi, 24, departs through the United Nations buffer zone at the Quneitra crossing in the Golan Heights, to marry a Syrian-Druze groom on Septemper 25, 2008. Once she crosses into Syria, the bride is not allowed to return to Israel.
Bride Arin Safadi hugs a relative as she leaves her family home on September 25, 2008 in her village of Ein Qiniya in the Golan Heights, the strategic plateau that Israel captured from Syria in the 1967 Six Day War.
Arin Safadi is kissed by a relative as she leaves her family home to be married in Syria on September 25, 2008.
Arin Safadi prepares to cross the Israeli-Syrian border of Kuneitra on September 25, 2008 after leaving her family home.
Friends and relatives of Israeli-Druze bride Arin Safadi react during her departure to marry a Syrian-Druze groom, through the United Nations buffer zone at the Quneitra crossing in the Golan Heights.
United Nations border guards stand at the Syrian-Israeli border into Quneitra, where Druze bride Arin Safadi crossed into Syria on September 25, 2008.

Arin Safadi waves as she crosses the Israeli-Syrian border of Kuneitra.

A Druze relative of Arin Safadi cries at the Kuneitra border crossing between Israel and Syrian on September 25, 2008.

Arin Safadi crosses the Syrian-Israeli check point with her husband, Rabia Safadi (on her right), on September 25, 2008.
Arin Safadi wipes her tears as she joins her groom in a waiting car on September 25, 2008 after crossing the Israeli-Syrian border.

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO