Sunday 6 January 2013

Aliyepiga picha na Lema kumbe Mjeshi feki, ..akamatwa!

KIJANA aliyepiga picha na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, akiwa amevalia sare za Jeshi la Wananchi (JWTZ) katika mkutano wa mbunge huyo uliofanyika Mererani mkoani Manyara na kujitambulisha kuwa anatoka kikosi cha Monduli, amekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro juzi baada ya kusakwa kwa siku kadhaa.

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO