Sunday 6 January 2013

Boti ya Mv Yarabi Tunusuru imezama na watu 9 wamefariki dunia.

Watu tisa wamekufa , kumi na wawili hawajulikani walipo na sitini na wanne wameokolewa baada ya boti ya Mv Yarabi Tunusuru Waliyokuwa wakisafiria katika ziwa Tanganyika kutoka Kirando mkoani Rukwa kwenda Kongo DRC kupitia kupinduka na kuzama katika Kijiji cha Herembe wilayani Uvinza mkoani Kigoma Ijumaa usiku.

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO