Thursday 3 January 2013

JAMANI WAZAZI,WALEZI TUACHE KUPIGA SOGA NA UMBEA VIJIWENI TUWE MAKINI NA WATOTO WETU KATIKA KIPINDI HIKI CHA MASIKA.


  Watoto ndio Taifa la kesho ivyo basi niwajibu wetu sote kuwalinda katika majanga mbalimbali ili waweze kufika mbali na hawa ni baadhi ya watoto wakichezea maji machafu bila kujali madhara yake

Hawa ni baadhi ya watoto ambao wanachezea maji machafu ya mvua ambayo yana tiririka kutoka maeneo mbalimbali katika mitaa yakiwa yana kila aina ya uchafu kutoka sehemu tofauti tofauti,Kuna uwezekano mkubwa watoto hawa kupata magonjwa hatari kutokana na maji haya ambayo wanachezea.
 Kama ilivyo katika Mkoa wa Ruvuma Mvua huwa hazitabiriki sasa kuna hatari kubwa kwa watoto hawa kusobwa na maji na kuharisha maisha yao kwani hawa elewi chochote wao huchukulia ni kama sehemu ya michezo yaho ya kawida

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO