Tuesday 8 January 2013

Msanii Omary Omary Mkali Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo

Msanii nyota wa miondoko ya mnanda a.k.a mchiriku. Omari Omari amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu,
Amewahi kutamba na nyimbo mbalimbali ukiwemo “ kupata ni majaliwa” alifariki nyumbani kwao temeke , baada ya kurejeswa toka hospita ya Temeke alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa.Cathyhabari inamuombea kila la heri Omar Omar na wengine waliotangulia mbele ya haki  mapumziko mema katika safari yao ya Ahera

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO