Thursday 3 January 2013

MATAKATAKA YAWA KERO KWA WAKAZI WA MANISPAA YA SONGEA


  Wakazi wa Manispaa ya Songea wailalamikia Halimashauli husika ambayo inahusika na uzowaji wa taka katika maguba kwa kutozoa taka hizo kwa wakati husika na kuwasababishia kero kubwa kutoka katika maguba hayo ya taka.
 Inasikitisha kuona baadhi ya maguba hayo  yapo katikati ya mji lakini nayo haya zolewi na kusababisha harufu mbaya kwa wakazi wa maeneo hayo hasa katika kipindi hiki cha masika.
Pia maisha ya wakazi ambapo maguba hayo yamepita wamekuwa wakiofia mlipukoa wa magonjwa mbalimbali kutokana na kutozolewa kwa taka hizo.

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO