Tuesday 8 January 2013

NAIBU WAZIRI WA MAJI ENG.DR.BINILITH S. MAHENGE YUPO KATIKA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI RUVUMA

Naibu waziri wizara ya maji ENG.DR.BENILITH MAHENGE yupo ziarani hapa mkoani ruvuma kwa siku tatu ambapo atatembelea katika wilaya mpya ya nyasa,songea vijijini na Manispaa ya songea
Akipata  maelekezo kuhusiana na mladi wa majitaka
ziara hiyo ambayo imaanza leo hapa katika manispaa ya songea kwa kutembelea katika maeneo mbalimbali kwanza alianza kwa kupiga kambi katika ofisi za SOUWASA na baadaye kwenda katika kituo cha kusukuma maji  cha maji cha LUHILA na kwenda katika bwawa la maji lililopo Kijiji cha mahilo na birika la mradi wa birika la  maji unaotarajia kuhudumia vijiji kumi ambavyo ni mitaa ya  manispaa ya songea na baadae kumaliza ziara yake katika mabwawa ya maji taka yaliyopo hapa mjini songea katika mtaa wa London.

kesho naibu waziri atakuwa ziarani katika wilaya mpya ya nyasa na hizi nia baadhi ya picha akiwa katika  mabwawa ya mjitaka yaliyopo Lizaboni Mjini songea siku ya tarehe 7.1.2013

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO