Makatibu
Tawala wa Mikoa Wastaafu, Bernard Nzungu (kushoto) na Getrude Mpaka
wakisakata Rhumba katika sherehe ya kuwaaga viongozi na watumishi
waliohama na wastaafu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Makatibu Tawala
wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka ya serikali za mitaa iliyofanyika
kwenye viwanja vyaBuge Mjini Dodoma Juni 22, 2013. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi runinga ya nchi 32 Katibu Twala wa mkoa wa Pwani Mstaafu, Bernard Nzungu katika sherehe ya kuwaaga viongozi na watumishi waliohama na wastaafu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka ya serikali za mitaa iliyofanyika kwenye viwanja vyaBuge Mjini Dodoma Juni 22, 2013. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Hawa Ghasia. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment