Thursday 6 June 2013

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete Atembelea makumbusho ya Perakanas nchini Singapore

 Mama Salma Kikwete akifuatilia maelezo ya historia ya watu wa Parekanas waishio nchini Singapore kama yanavyotolewa na Bibi Ghazala tarehe 5.6.2013
Mama Salma akiangalia kazi mbalimbali za mikono ziizokuwa zikifanywa na wanawake Waperakanas wa Singapore zilizohifadhiwa kwenye makumbusho hayo.Picha na John Lukuwi

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO