Viti vya klabu hiyo vikiwa vimeteketea kwa moto.
Friji zilizosheheni vinywaji baada ya kuteketea kwa moto.
Meneja wa klabu hiyo, Said Kassim akitoa maelezo kwa waandishi walifika kwenye tukio.
Klabu
ya EM Stereo iliyopo Kinondoni - Studio jijini Dar es Salaam leo
imeteketea kwa moto baada ya kutokea hitilafu ya umeme. Moto huo
umeteketeza kila kitu kilichokuwa ndani ya klabu hiyo.
(PICHA: GLADNESS MALLYA NA DENIS MTIMA / GPL)
No comments:
Post a Comment