Sunday 2 June 2013

MWILI WA MAREHEMU MANGWAIR KUWASILI JUMANNE DSM

Taarifa tulizozipata kutoka Afrika kusini ambako mauti yalimpata msanii Mngwair ni kwamba mwili utawasili jumanne kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa watanzania walioko Afrika Kusini lakini pia na hali ya msanii M 2P ambaye amelizwa bado huko Afrika kusini.

Lakini pia waziri wa habari vijana utamaduni na michezo Fenella Mukangara ametoa pole kwa watanzania wote pamoja na wasanii wa muziki kwa msiba huu mkubwa

MASHINDANO YA MBUZI YALIVYOFANA JIJINI DSM

  Mbuzi wakishindana katika mbio zilzodhaminiwa na Benki ya FNB zilizopea jina la ‘The FNB Champions Cup’ katika mashindano ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam
 Mbuzi wakishindana ili kumpata mshini wa katika mbio zilizopewa jina  ‘The Southern Sun Fillies Frolic’ wakati wa mashindano ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam
 Washindi wa mbio za mbuzi za ‘The Kilitime Stake’ wakishangilia mara baada ya kumnalizika kwa mbio hizo  wakati wa mashindano ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam mwishoni jana.  Zilidhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO